Swahili

Migrantifa Weimar ilianzishwa Juni 2020. Ni kundi la ndani la watu tofauti, kutoka nji tofauiti. Wengi ni wahamiaji Ujerumani, ambao wote wameungana kwa Migrantifa. Wengine wetu tumekuwa tukifanya siasa za kupinga-ufashisti na kupinga ubaguzi wa rangi miaka mingi. Waikati wengine wetu wanaanza kujifundisha. Pamajo tunataka kuunda nafasi ambayo tunaweza kupata nguvu kwa mapigano dhidi ya ubaguzi wa rangi, ufashisti, ukoloni na vurugu za polisi. Migrantifa Weimar pia ni kikundi yenye inasaidia watu wakuwe na uhakika, na wapate Mitandao. Wanaelimisha kwa msaada wa Mihadhara, Workshops, Maandamano na Sherehe nyingi. Migrantifa Weimar wanataka kuonyesha wakazi ya Weimar yakwamba wapo. Zaidi ya hayo wanataka kuongea waaminifu na raia wa Weimar kuusu siasa. Pia wanataka kuwezesha watu wanaovutiwa washiriki katika siasa za jamii juu ya miradi.